Thursday, October 12, 2017

JAGUAR AOMBA RADHI BAADA YA KUPIGANA BUNGENI WIKI HII

Moja ya stori ambayo ilikuwa gumzo kutoka Kenya jana October 11, 2017 ilikuwa ni kuhusu ugomvi uliotokea katika Bunge la nchi hiyo uliopelekea hata Wabunge wawili vijana; Mbunge wa Starehe Charles Njagua Kanyi, maarufu kama Jaguar kuzichapa na Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino.
Sasa, Mbunge Jaguar ameomba radhi kwa wapiga kura wake na Wakenya kwa ujumla kutokana na tukio hilo.
Wawili hao walifikia hatua hiyo wakiwa ndani ya Bunge Jumanne jioni baada ya Owino kusema Rais Uhuru Kenyatta ni kiongozi anayeilea Serikali, lakini mwisho wake utafika karibuni.
Baada ya kutoelewana katika ukumbi wa habari ndani ya Bunge, walianza kurushiana maneno huku Owino akisisitiza hatotambua uhalali wa Rais Kenyatta ambapo alinukuliwa akisema;>>>”Jaguar, huwezi leta ushenzi. Hii Kenya ni ya watu wote.”
Kwa upande mwingine, Jaguar alisikika akisema:>>>”Babu, lazima umheshimu Rais, kama hutaki, tutakushughulikia.”
>>>”Kilichotokea (Bungeni) kilikuwa kibaya sana. Nimemsamehe Babu Owino. Nami naomba anisamehe pia. Hata hivyo, nasisitiza kwamba Babu Owino lazima amheshimu Rais. Asimkosee heshima Kiongozi wa Dola – tena –, nitapambana naye.” alisema Jaguar alipokuwa anazungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa habari wa Bunge.

BY MPIKO JUNIOR.


Tuesday, October 10, 2017

VIDEO:O.T GENASIS - EVERYBODY MAD



NINI KINAENDELEA KATI YA ALI KIBA NA MANGE KIMAMBI?? KIBA AMEWEKA WAZI HAPA


NEWS:HALLELUJAH YA DIAMOND X MORGAN HERRITAGE YAZIDI KUPASUA, NI #1 BBC 1XTRA

Ngoma ya Diamond Platnumz ‘Hallelujah’ aliowashirikisha nguli wa muziki wa reggae toka Jamaica, Morgan Heritage, imekamata nafasi ya kwanza kwenye Top 5 ya kipindi cha Destination Africa cha BBC Radio 1Xtra.
Diamond ameandika kwenye Instagram,” Number One in United Kingdom (UK), #Hallelujah ft @morganheritage….Thank you so Much @bbc1xtra @iamdjedu and all the fans for the Major support…. Africa to the World! full Video link in my BIO.”
Nao Morgan Heritage wameandika,” No 1 in the #UK is a blessing. ‪Our brother @iamdjedu @1Xtra thanx for the support on our new song #Hallelujah by @diamondplatnumz ft @morganheritage.”
Video ya wimbo huo hadi sasa ina views milioni 3.8.


BY MPIKO JUNIOR.

Monday, October 9, 2017

AUDIO:BIBI CHEKA FT DJ TIFFA - HALI YANGU



AUDIO:DOMO KAYA - ADELA



AUDIO & VIDEO:SQUEEZER - SITAMANI


AUDIO:DUDU BAYA - DELA



PEPO LA MISIBA LAMUANDAMA DAVIDO

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido amepatwa na msiba mwingine baada ya ule wa mshikaji wake ‘Tagbo’ aliyekutwa kauwawa na kutelekezwa kando ya hospitali, tukio ambalo liliibua utata kiasi cha Davido kuhusishwa katika uchunguzi wa kujua nini chanzo cha kufariki kwake.

DIAMOND PLATNUMZ AMEIBEBA TENA AFRIKA MASHARIKI

Tuzo za African Muzik Magazine Awards maarufu kama (AFRIMMA) zilifanyika usiku wa October 8,2017 nchini Marekani, Texas Dallas na kama utakuwa unakumbuka vizuri kuna wasanii mbalimbali wa Tanzania waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2017 akiwemo muimbaji Diamond Platnumz.
Kwa upande wa wasanii wa Tanzania ni muimbaji Diamond Platnumz pekee ndio ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za AFRIMMA 2017, ambapo ametangazwa kuwa msanii bora wa mwaka 2017, huku muimbaji Victoria Kimani wa Kenya akitangazwa kuwa msanii bora wa kike Afrika Mashariki.
LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA 2017
Best Male East Africa
Eddy Kenzo – Uganda
Diamond Platnumz – Tanzania – Winner
Jacky Gosee – Ethiopia
Ali Kiba – Tanzania
Navio – Uganda
Bebe Cool – Uganda
Sauti Sol – Kenya
Dynamq – South Sudan
Nyashinski – Kenya
Darasa – Tanzania
Best Female East Africa
Victoria Kimani – Kenya – Winner
Vanessa Mdee – Tanzania
Ester Aweke – Ethiopia
Avril – (Kenya)
Lady Jaydee (Tanzania)
Knowles Butera – Rwanda
Irene Ntale – Uganda
Akothee – Kenya
Dayna Nyange – Tanzania
Artist of The Year
Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania) – Winner
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Ugandan
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola
AFRIMMA Video of The Year
Toofan – Terre (Togo)
Davido – If (Nigeria)
Wizkid – Come Closer (Nigeria)
Runtown – Mad Over You (Nigeria)
Casper Nyovest – Tito Mboweni (South AFrica)
Emtee ft Nasty C – Winning (South Africa)
Diamond Platnumz ft Ray Vanny – Salome (Tanzania)
Victoria Kimani ft Donald – Fade Away(Kenya/South Africa)
Fally Ipupa – Eloko Iyo (Congo) – Winner
C4 Pedro ft Sautisol- Love again (Angola/Kenya)
Song of The Year
Runtown – Mad over you (Nigeria)
Davido – If (Nigeria ) – Winner
Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Tanzania)
Babe Wodumo ft Mampintsha – Wololo (South Africa )
Wizkid – Come Closer(Nigeria)
Caspper Nyovest – Tito Mboweni(South Africa)
Fally Ipupa – Eloko Iyo(Congo)
Toofan – Terre (Togo)
Darasa ft Ben Pol – Muziki (Tanzania)
MHD- Bravo (Guinea Conakry)

BY Mpiko Junior

VIDEO:LUDACRIS - VICES



AUDIO:BRIGHT FT NEY WA MITEGO - SALIO