Thursday, January 18, 2018

VIDEO | KOREDE BELLO - MELANIN POPPING


VIDEO | LAVA LAVA - UTATULIA


VIDEO | KHALIGRAPH JONES - OMOLLO


AUDIO | Heri Muziki Ft. Mr Paul & Mwana FA - Waambie


VIDEO | WANDE COAL - TUR-KEY NLA


AUDIO & VIDEO | TRIPLE 5 - COME CLOSER


VIDEO | JACO BEATZ FT MONI CENTROZONE - BABY


AUDIO | BOB HAISA FT SAIDA KALOLI - NDOA


AUDIO | BRIGHT - SINA


AUDIO & VIDEO | NAKO2NAKO - HARDCORE


Sunday, January 14, 2018

AUDIO | BEN POL - GUSA


NEWS | KAMA MTOTO ANAOKOTWA BASI SUBIRINI NAMI WANGU NITAMUOKOTA[GIGY MONEY]



Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameonekana akiwa mjamzito na kuwashangaza wengi, amesema hakukusudia kuwajulisha watu bali ilikuwa kwa bahati mbaya wamejua
Akizungumza na mwandishi Gigy Money amewataka watu kumshukuru Naibu Waziri wa Habari, Sanaa utamaduni na Michezo Juliana Shonza kwa kumuita, kwani bila wito huo watu wasingemuona mtaani na kumuona akiwa na ujauzito wake.
“Kwanza Mumshukuru yule waziri la sivyo msingeuona, huwa sipendi kabisa kuongelea masuala ya ujauzito wangu ila siku ile ilitokea bahati mbaya watu wakauona, alafu hao wanaosema nimeweka mimba feki ili serikali inionee huruma mi nina undugu na serikali? Kama mtoto anaokotwa basi subirini nami wangu nitamuokota”, amesema gigy Money.
Kauli hiyo ya Gigy Money imekuja siku chache baada ya watu kumuona na ujauzito, huku wengine wakidai ameweka mimba feki ili serikali imuonee huruma.

NEWS | BILL NASS AJIBU OMBI LA NDOA KWA NANDY


Msanii Bill Nass amejibu kauli ya Nandy aliposema kuwa anatamani angekuwa mke wake, na kusema kwamba ni kitu ambacho hakiwezekani ingawa anaheshimu hisia zake
Akizungumza na mwandishi Bill Nass amesema kwa sasa hawezi kujibu kwa mtazamo positive kwani kufanya hivo kutaharibu mahusiano yake ya sasa, lakini anaheshimu hisia za Nandy.
“Kwa coment yangu kwa sababu mtu ameelezea hisia zake kutokana labda na personality zangu, ila hanijui kiundani, siwezi kujibu in positive ingawa naheshimu hisia zake naheshimu alichokizungumza, lakini kutokana na mahusiano ambayo niko nayo siwezi kufanya move yoyote kwake, naheshimu mahusiano yangu, siwezi kucoment chochote ambacho hakitampendeza mwenzangu na hakitakuwa na mrejesho mzuri kwenye mahusiano yangu, lakini naheshimu hisia zake”, amesema Bill Nas.
Hivi karibuni msanii Nandy alinukuliwa na moja ya chombo cha habari akisema anatamani angekuwa mke wa Bill Nass kwani anamzimia msanii huyo.

AUDIO | YCEE FT EUGY - SAY BYE BYE


AUDIO | SARKODIE - NO COILING(KMT Remix)