Thursday, November 9, 2017

AUDIO:PATORANKING - AVAILABLE



AUDIO:JASON DERULO FT FRENCH MONTANA - TIP TOE



AUDIO:MAKOMA FT MAYOURKUN - D BLACK




AUDIO:FUSE ODG FT ED SHEERAN & MUGEEZ - BOA ME



AUDIO:JENNIFER LOPEZ FT WISIN - AMOR AMOR AMOR



AUDIO:TAYLOR SWIFT FT ED SHEERAN & FUTURE - END GAME



AUDIOALICIA KEYS - WHEN YOU WERE GO



AUDIO:FUTURE & TY DOLLA $IGN FT KIIARA - DARKSIDE



AUDIO & VIDEO - QUEEN DARLEEN - NTAKUFILISI


VIDEO:MAJOR LAZER FT BUSY SIGNAL - JUMP



AUDIO:JASON DERULO FT RAYVANY - PUSH



AUDIO:ACTIVE FT MWANA FA - GO MAMA




Sunday, November 5, 2017

NEWS:HUYU NDO DJ WA AFRIKA KUSINI ALIYEPIGIWA SIMU NA RIHANNA ILI WAFANYE COLLABO

Dj maarufu Africa na dunia nzima kutoka Afrika Kusini Dj Black Coffee amethibitisha kuwa kambi ya Rihanna imetaka afanye naye kazi.
Dj Black Coffee amethibitisha kufanya kazi na Rihanna nakusema tayari ameshatuma nyimbo kadha na kambi ya Rihanna imechagua mmoja ambayo wameipenda na Kazi imeshaanza
Dj Black Coffee ameendelea kusema kabla JAY-Z hajatoa album yake ya 4.44 alitaka kufanya naye kazi, Dj Black Coffee anasema “Swizz Beatz alinicheki kuhusu JAY-Z kutaka nifanye naye wimbo,Sababu ya Shauku kubwa nilishindwa kufanya wimbo huo, sikulala usiku kucha, nadhani Sikuwa tayari kwaajili ya kufanya wimbo na JAY-Z”
Dj Black Coffee anasema Ukiachana na Cassie, Riri na JAY-Z, Wasanii wengine wanaotaka kufanya kazi na mimi ni pamoja na Usher Raymond, Akon na Diddy.
    

NEWS:ZARI ALIPULIWA KWA KUSAHAU NYUMBANI ALIPOTOKA


Wakati akitajwa kuwa mmoja wa wanawake masta-watafutaji na matajiri wa Afrika Mashariki, mwanamama Zarinah Hassan Tlale almaarufu Zari The Boss Lady ameumbuliwa.
Zari anadaiwa kuumbuliwa na mitandao ya habari za mastaa ya nchini Uganda ambayo imeeleza kwamba, pamoja na kuwa na fedha nyingi na maisha ya kufuru, lakini huko nyumbani au kijijini kwao, Jinja nchini Uganda mambo si mambo.
Kwa mujibu wa mitandao hiyo iliyoamua kumwanika Zari baada ya kutajwa kuwa na utajiri mkubwa miongoni mwa mastaa wa nchini humo, Jinja ndiko alikozaliwa na kukulia kabla ya kuhamia Kampala, lakini maisha ya ndugu zake hasa makazi ni duni au ya hali ya chini ukilinganisha na mbwembwe za utajiri wake.
Tokeo la picha la zari na magari
“Kwa tunaofahamu kijijini kwao (Jinja), tunashangaa kama kweli ana utajiri kama anavyojinadi maana maisha ya ndugu zake ni ya chini. Hata nyumba ya bibi yake na ndugu zake hazina hadhi ya yeye kujiita Boss Lady. “Inawezekana kweli ana utajiri mkubwa wa fedha, majumba na magari ya kifahari huko Kampala na Afrika Kusini. “Tumemuona mara kadhaa akinadi majumba yake ya ghorofa na hoteli zake za Munyonyo (Kampala).
“Pia majumba yake ya Pretoria na Johannesburg huko Afrika Kusini (Sauz) aliyoachiwa na marehemu mumewe, Ivan Ssemwanga na ile aliyonunuliwa na mpenzi wake wa sasa ambaye ni msanii wa Bongo Fleva.
“Pia ukimuona Zari akiposti mapicha akiwa na yale magari yake ya kifahari kama Hummer H2, Ferrari, Lamborghini, Mercedes Benz na mengineyo, ukioneshwa nyumbani kwao kule Jinja unaweza kubisha, lakini ukweli ndiyo huo,” ulieleza mtandao mmoja na kuongeza: “Kiukweli kwa fedha alizonazo, Zari alipaswa kupajenga kwao maana ndipo nyumbani kwao, ndipo asili yake na mwacha asili ni mtumwa, hatuandiki kwa ubaya ila tunafanya hivi kumkumbusha kwao apajenge napo paendane na hadhi yake kama anavyopenda kujiweka aonekane ‘high class’.
“Tunachofahamu ni kwamba, mama mzazi wa Zari (Fatuma Hassan) aliolewa na baba yake Zari huko Jinja, lakini kadiri muda ulivyosonga, wazazi wa Zari walitengana ambapo mama Zari alipitia mambo mengi sana katika kuwalea wanaye nane akiwemo Zari wakiishi maisha magumu ya kijijini kule Jinja. “Baadaye mama Zari alihamia na kuanzisha maisha mapya jijini Kampala akiwa na bintiye Zari.“Ndicho kipindi ambacho Zari alianza kutembea na wanaume wenye fedha ambapo alifanikiwa kuolewa na Ivan ndipo akamjengea mama yake ile nyumba ya ghorofa iliyopo
Munyonyo (Kampala).
Zari ambaye amepewa jina la Boss Lady kutokana na utajiri wake anaelezwa kuwa anamiliki hoteli ya kifahari iliyopo kwenye Mtaa wa Kagwa, Kampala nchini Uganda, vyuo vya urembo na maduka ya vipodozi nchini Afrika Kusini alivyoachiwa na mumewe ambavyo vimekuwa vikimuingizia mkwanja mrefu.
Pia Zari ni muandaaji wa shoo zake za Zari All White Party anazozifanya kwenye nchi za Afrika Mashariki za Uganda, Tanzania na Kenya hivyo kuaminika kuwa ana uwezo wa kupajenga kwao na kupafanya kuwa na hadhi inayoendana na jina lake.
Si ZARI tu Uchunguzi uliofanywa ulibaini kwamba, si Zari tu anayekumbwa na ishu hiyo ya kutojenga vijijini mwao bali kuna wimbi la vijana wengi ambao mjini wanaonekana kuwa na maisha bora lakini ukifika vijijini mwao walikozaliwa ni aibu tupu.

AUDIO:FOBY - SI LAZIMA