Wednesday, December 27, 2017

NEWS:LULU DIVA ATANGAZA KOLABO YAKE NA WIZKID

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva afunguka ujio wa kolabo yake na Wizkid kutoka Nigeria.Muimbaji huyo wa ngoma ‘Give It To Me’ ameiambia The Playlist kuwa mwakani kuna uwekano wa kufanyika kolabo hiyo.
“Watengemee kolabo may be Wizkid, alikuwa rafiki yangu lakini tulikuwa tunachati na kukutana naye nafikri nakumbuka ile party Diamond alifanya Mwanza Wizkid alikuja ku-perform hapo ndio nilionana naye kwa mara kwanza” amesema Lulu Diva.
Ameongeza kuwa kwa upande wa Bongo wapo wasanii wengi ambao anawafikiria lakini kwa sasa anatamani kuja kufanya kolabo na Vanessa Mdee.

AUDIO:MONI CENROZONE X COUNTRY BOY - MWAAAH


VIDEO:SAMIR - ZUZU


AUDIO:SAIDA KAROLI - KABAKA


AUDIO:SHEBBY SHEBBY FT MR BLUE - NIKIFAA


VIDEO:CHRIS BROWN - HIM OR ME


VIDEO:RIHANNA FT WIZKID - SUNDOWN


Monday, December 25, 2017

Wednesday, December 20, 2017

NEWS:Baraka The Prince azidi kulia mchezo mchafu YouTube


Msanii wa muziki Bongo, Barakah The Prince amedai kuwa bado video zake zinafanyiwa hujuma katika mtandao wa YouTube.
“Hiyo ishu ilianzia kwenye video yangu ya Sometimes views hawapandi, subscriber wanasimama, likes wanashuka, dislike wanakuwa ni wengi, wimbo unafanya vizuri mtaani halafu dislike zinakuwa ni nyingi, kwa hiyo kuna mchezo nilikuwa nafanyiwa ambao ni the same kwenye Nipe Nguvu,” amesema Barakah.
“Na promotion yote ninayokuwa naifanya kwenye mitandao ya kijamii views wanakuwa hawapandi, kuna wasanii ambao ni underground ambao sidhani kama wana mashabiki kama vile ninao mimi tumetoa video pamoja lakini views zao zinapanda kitu ambacho si cha kawaida,” ameongeza.

AUDIO:BECKA TITLE FT CHID BENZ - TRUE LOVE


AUDIO:WIZKID - OOO [FT ZINGAH,MAPHORISA,BURNA BOY]


AUDIO:MOTRA THE FUTURE FT DIAMOND PLATNUMZ & RICK ROSS - WAKA WAKA


AUDIO:IZZO BIZNESS FT JUMA NATURE - BARAKA


AUDIO:MR PAUL - NITAFANYA


AUDIO:RAYVANY FT DJ MAPHORISA X DJ BUCKZ - MAKULUSA


Tuesday, December 19, 2017

VIDEO:OZUMA FT CARDI B - LA MODELO


VIDEO:NANDY - KIVURUGE



VIDEO:RAYVANY FT DJ MAPHORISA X DJ BUCKZ - MAKULUSA


VIDEO:Nico & Vinz - Listen


AUDIO:PIA MIA - RED ROOM


VIDEO:DJ Mustard, RJMrLA - Don't Make Me Look Stupid ft. YG


VIDEO:50 CENT - NY



VIDEO: TY DOLLA $IGN – ‘SIDE EFFECTS’


VIDEO:MEEK MILL FT YOUNG THUG - WE BALL


AUDIO:DAMIAN SOUL FT NIKKI WA PILI & SWITCHER BABA - DATA


AUDIO:CRISS WAMARYA - KOLO



Monday, December 18, 2017

AUDIO:CHRIS BROWN - GOIN AT IT


VIDEO:Q JAY - NISAMEHE


AUDIO:GODZILLA FT YOUNG DEE - WALETE


VIDEO:TEKNO - ONLY ONE


VIDEO:Y TONY - TUKAJICHANE


AUDIO:YVONNE CHAKA CHAKA FT ALIKIBA - AKILIA MAMA


VIDEO:GETHO AMBASSODOR & MANSULI - NAFANYA YANGU


VIDEO:YOUNG KILLER MSODOKI FT BRIGHT - TOTO TUNDU


VIDEO:FEROUZ - NAJARIBU


Thursday, December 14, 2017

VIDEO:MAJOR LAZER FT J BALVIN & SEAN PAUL - BUSCANDO HUALLAS


VIDEO:WIZKID FT YUNG6ix - WITH YOU


VIDEO:KATY PERRY FT IGGY AZALEA - HEY HEY HEY


VIDEO:NASTY C & RUNTOWN - SAID


VIDEO:KRIZBEATZ FT YEMI ALADE & HARMONIZE- 911

VIDEO:SEAN PAUL FT SHENSEEA - ROLLING


VIDEO:IYO FT HARMONIZE - NAKUPENDA


AUDIO:PtheGUN - WOWOWO[REMIX]


AUDIO:LINEX - KIPIMO CHA UPENDO


AUDIO:RAY C - HATUACHANI


AUDIO:YOUNG DEE - NATUMIA


VIDEO:LADY JAYDEE - BABY


Sunday, December 10, 2017

NEWS:NAVY KENZO WAPATA MTOTO


Wasanii Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo ambao pia ni wapenzi wamejaliwa kupata mtoto wao wa kwanza hapo jana siku ya uhuru tarehe 9 disemba.
Kupitia kurasa zao za mtandao wa Instagram wameeleza furaha yao mara baada ya kupata mtoto huyu. Nahreel ameandika; #Gold z Finaly Here, God z good all the time #HappyIndependenceDayTz
Huku Aika naye akiandika; Mr Gold welcome to the world. Thank you God, and thank you all for ur prayers🙏. #AlsoHappyBirthdayMum#HappyIndependeceDayTanzania

VIDEO:SHEEBAH - MUWE


VIDEO:SARZ FT DJ TUNEZ & FLASH – GET UP


AUDIO:BAHATI - LALA AMKA


AUDIO & VIDEO:WHOZU - FOLLOW UNFOLLOW

CLICK HERE TO DOWNLOAD AUDIO / VIDEO

Saturday, December 9, 2017

AUDIO:DAMY DURO - POKEA SIMU[Produced by Jam Beat]KP MUSIC


NEWS:DIAMOND MATATANI TENA KWA KAULI ZAKE CHAFU DHIDI YA WANAWAKE


Msanii Diamond Platnumz anayetamba na Ngoma ya Sikomi ameingia matatani baada ya  watu mbalimbali kumtuhumu kuwadhalilisha wanawake kupitia ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Instagram.
Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu  anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.


“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba… We swala la Kutafta ela niachie mie… Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao…..Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.

VIDEO:JULIO BATALIA FT MUCKY COMANDO - ONE DAY


VIDEO:BABA KASH FT MSAGA SUMU - KAWAIDA


VIDEO:COYO - NYAKANYAKA


AUDIO:JAY MOE - BATA


VIDEO:GALATONE - BINADAMU