Wednesday, December 27, 2017

NEWS:LULU DIVA ATANGAZA KOLABO YAKE NA WIZKID

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva afunguka ujio wa kolabo yake na Wizkid kutoka Nigeria.Muimbaji huyo wa ngoma ‘Give It To Me’ ameiambia The Playlist kuwa mwakani kuna uwekano wa kufanyika kolabo hiyo.
“Watengemee kolabo may be Wizkid, alikuwa rafiki yangu lakini tulikuwa tunachati na kukutana naye nafikri nakumbuka ile party Diamond alifanya Mwanza Wizkid alikuja ku-perform hapo ndio nilionana naye kwa mara kwanza” amesema Lulu Diva.
Ameongeza kuwa kwa upande wa Bongo wapo wasanii wengi ambao anawafikiria lakini kwa sasa anatamani kuja kufanya kolabo na Vanessa Mdee.

AUDIO:MONI CENROZONE X COUNTRY BOY - MWAAAH


VIDEO:SAMIR - ZUZU


AUDIO:SAIDA KAROLI - KABAKA


AUDIO:SHEBBY SHEBBY FT MR BLUE - NIKIFAA


VIDEO:CHRIS BROWN - HIM OR ME


VIDEO:RIHANNA FT WIZKID - SUNDOWN


Monday, December 25, 2017