Saturday, January 13, 2018

VIDEO | L.A.X - CALL MY BABY


VIDEO | WALEXY FT SKALES- ILEKE


VIDEO | DJ WILL FT DJ XCLUSSIVE - ALHAJI CODE


AUDIO | MC GALAXY - SHOWERS OF BLESSING


VIDEO | IYANYA FT TEAM SALUT - GOOD VIBES


VIDEO | ICE PRINCE - REPLAY


VIDEO | RUDEBOY - NKENJI KEKE


VIDEO | QDOT - IJO GELEDE


NEWS | MZEE YUSUPH AENDELEA KUOMBA WENYE NYIMBO ZAKE WAZIFUTE KWENYE SIMU ZAO

Aliyekuwa mwimbaji na Mkurugenzi wa bendi ya Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf amefunguka na kutilia mkazo na kuwaomba watu hususani wanawake ambao bado wana nyimbo zake za Taarab kwenye simu wazifute ili iwe kheri zaidi kwenye imani yake na dini yak.
Mzee Yusuf alisema hayo alipokwenda Babati mkoani Manyara katika harakati ya kuzidi kukutana na watu na kuwaomba wazifute nyimbo zake hizo za Taarab kwa kuwa anaamini zinakwenda kinyume na imani yake.
“Niko Babati kuzidi kuwaomba Waislam wanifanyie ‘Ihsaan’ ya kuzidi kuniombea dua na kuzifuta nyimbo zangu kwenye simu zao kwa ajili ya dini ya ‘Allah’ iwe kheri na salama. Wengine nyinyi mpaka sasa simu zenu bado zinabalaa naombeni mzifute kwa ajili ya ‘Allah’ naona haya simu zikipigwa zikaita hizo nyimbo kwani najisikia vibaya sijui nifanyaje” alisema Mzee Yusuf
Aidha Mzee Yusuf alisema kuwa kwa sasa anaogopa na kuwataka wale ambao wanasema wamemkumbuka kwenye masuala ya uimbaji wa nyimbo za Taarabu waache kumkumbuka kwenye mambo hayo bali wamsaidie kwa kuzifuta nyimbo hizo. Mbali na hilo Mzee amewaomba watu wa vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii kufuta kazi zake zote hizo kwa ajili ya hisani ya ‘Allah’

NEWS | JOH MAKINI AFUNGUKA KUHUSU KOLABO YAKE NA FID Q


Kama wewe ni mpenzi au mdau wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo, basi hakuna ubishi kuwa kolabo kubwa inayosubiriwa na mashabiki ni kolabo kati ya Joh Makini na Fid Q.
Je, unajiuliza kolabo hii huenda ikatokea? ukweli ni kwamba ondoa shaka kwa hilo kwani Joh Makini amesema kuwa ni muda tu unasubiriwa kwani wawili hao hawajahi kukaa pamoja kuzungumzia ishu za kolabo lakini endapo ikitokea nafasi ya kufanya hivyo watafanya.
Mimi na Fid Q hatuna matatizo kama ambavyo watu wanafikiri, kwa sababu mimi mwenyewe binafsi sijawahi kuwa na matatizo naye na wala sijawahi kuona kama anamatatizo na mimi. Kwa hiyo mimi kama msanii na yeye kama msanii Chochote kinaweza kutokea anytime,“amesema Joh Makini kwenye kipindi cha Playlist cha Times FM huku akielezea kikwazo cha muda
Ni vile labda hatujawahi kukutana kwenye hiyo vibe, hatujawa bado kwenye hiyo Chemistry ya kusema tufanye ngoma pamoja so you never know..hakuna mipaka 2018,“amemaliza Joh Makini.

VIDEO | MzVee ft Yemi Alade - Come and See My Moda


VIDEO | JOLIE - BADO MAPEMA


VIDEO | PINK FT CHEMICAL - ACHANA NA MIMI


VIDEO | BEST NASSO - CHOZI LA MAMA


VIDEO | EDDY KENZO - THE HEAT


Friday, January 12, 2018

VIDEO | Chris Brown ft. 2Pac - L.A. Chronicles


VIDEO | Pitbull - Better On Me (Official Video) ft. Ty Dolla $ign

CLICK HERE TO DOWNLOAD

AUDIO & VIDEO | MAN FONGO - LAU NAFASI


VIDEO | Moni Centrozone X Country Boy (MoCo) - Mwaaah


AUDIO | BRIGHT - MTU KWAO


AUDIO | SNURA FT ASLAY - MOYO NIACHE


AUDIO | Amber Lulu Ft. Heri Muziki - True Love


AUDIO | RUBBY - BABY[Aslay Cover]


AUDIO | Edu Boy Ft. Amber Lulu & Belle 9 - Tunasafisha


VIDEO | BARNABA Ft ASLAY – NGOMA


AUDIO | Maarifa BigThinker Ft. Minor Tone - Legeza Kidogo


AUDIO | KING DA MEFA - DANGA MSELA [Produced by Jam Beatz]KP MUSIC


Monday, January 8, 2018

AUDIO & VIDEO | LAVA LAVA - KILIO


VIDEO | OMG TANZANIA - WANAGU NA WANAO


AUDIO | BUGALEE X BELLE 9 - WANIMALIZA


AUDIO | MWASITI - WAUBANI


AUDIO | DOGO DEE - CHAKA 2 CHAKA


VIDEO | LAVA LAVA - TEJA


VIDEO | OTILE BROWN FT SHETTAH - TAMU SANA


VIDEO | SAM WA UKWELI - MILELE


AUDIO | Benjamin wa Mambo Jambo Ft. 20% & Baghdad - My Friend RMX


AUDIO | JAX CHATA - ASUU COVER


AUDIO | GALATONE - AKSH AKSH


AUDIO | OMG FT ROSA REE - WANANGU NA WANAO


AUDIO | HUSSEIN MACHOZI - SWEETY MELODY