Saturday, December 9, 2017

AUDIO:DAMY DURO - POKEA SIMU[Produced by Jam Beat]KP MUSIC


NEWS:DIAMOND MATATANI TENA KWA KAULI ZAKE CHAFU DHIDI YA WANAWAKE


Msanii Diamond Platnumz anayetamba na Ngoma ya Sikomi ameingia matatani baada ya  watu mbalimbali kumtuhumu kuwadhalilisha wanawake kupitia ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Instagram.
Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu  anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.


“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba… We swala la Kutafta ela niachie mie… Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao…..Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.

VIDEO:JULIO BATALIA FT MUCKY COMANDO - ONE DAY


VIDEO:BABA KASH FT MSAGA SUMU - KAWAIDA


VIDEO:COYO - NYAKANYAKA


AUDIO:JAY MOE - BATA


VIDEO:GALATONE - BINADAMU


Thursday, December 7, 2017

VIDEO:DIAMOND PLATNUMZ FT RICK ROSS - WAKA WAKA


VIDEO:MWANA FA FT MAUA SAMA - HATA SIELEWI


AUDIO:MWANA FA FT MAUA SAMA - HATA SIELEWI


AUDIO:CRISS WAMARYA - DEDE


AUDIO:RAY C - CONFIDENCE


VIDEO:MOHOMBI FT FALLY PUPA - ZONGA MAMA


VIDEO:JADEN SMITH - ICON


VIDEO:ROMEO SANTOS FT DADDY YANKEE & NICKY JAM - BELLA Y SENSUAL


VIDEO:FLO RIDA FT MALUMA - HOLA


NEWS:MR NICE AMKANA YOUNG DEE


Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva kwenye miondoko ya TAKEU, Mr. Nice, amesema hamjui msanii Young D ambaye ametumia wimbo wake, na kwamba hakubaliani na kitendo cha yeye kutumia kazi yake.
Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television,Mr. Nice amesema licha ya kutoruhusu mtu yeyote kutumia kazi zake, hajapata taarifa kutoka kwa Young D wala uongozi wake, na hajawahi kumjua kwenye maisha yake.
“Sijawahi kuongea wala kuruhusu binadamu yoyote kutumia kazi yangu yoyote bila makubaliano na ridhaa yangu mwenyewe iwe ni kwa kuniheshimu ama kunidhihaki, so far simjui huyo Young D at all , ndo namsikia kwako”, amesema Mr. Nice.
Kwa upande wa Young D amesema suala hilo tayari uongozi wake unalishughulikia ili kumalizana na malalamiko ya Mr. Nice, hata hivyo aliamua kufanya kama kumpa heshima kutokana na kukubali kazi zake alizokuwa akizifanya.

Sunday, December 3, 2017

NEWS:MANGE KIMAMBI AIBUA MAPYA SAKATA LA WEMA SEPETU KURUDI CCM


Mwanadada Mange Kimambi ameibukia sakata la Wema Sepetu kurudi CCM,ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu atabiri mpango wa Wema Kurudi CCM.
Akizungumza kupitia  ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Kimambi amesema Wema  hajawaangusha watanzania  pekee bali  amejiangusha yeye  mwenyewe kwa kutokua na msimamo.
“Hujawaangusha waTZ tu, umejiangusha mwenyewe pia, your fans and everyone who cared for you. Hivi kizazi hiki kina Winnie Mandela hakuna kabisa eehe? Nakuonea huruma mnoooo sababu umepoteza credibly yooooote kwenye jamii”Ameandikia Mange Kimambi.
Hivi karibuni Mange alisema kuwa anazo taarifa za uhakika kuwa Wema Sepetu pamoja na Mama yake watarudi chama cha Mapinduzi akidai kuwa mama yake amekubali kurudi isipokuwa anasuburiwa yeye.
Mange alisema mpango wa kurudi CCM unafuatia Wema na Mama yake kubanwa katika mambo  mbalimbali kutokana na kuwa upande wa upinzani.
Wakati akitangaza kurudi CCM jana Wema alisema..
“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me. Natangaza rasmi kuondoka Chadema na kurudi nyumbani” . Wema Sepetu.
Wema alijiunga chama cha Chadema mwezi februari mwaka huu akitokea chama cha Mapinduzi.

VIDEO:MOTRA X BULL RANKING - BADDEST



AUDIO:YOUNG DEE FT DAYNA NYANGE - KI BEN 10



AUDIO:ENOCK BELLA - NITAZOEA



AUDIO & VIDEO:PITBULL FT FIFTH HARMONY - POR FAVOR



VIDEO:FLAVOUR - CHIMAMANDA



AUDIO:SHAZY KID - MACHO KODO[Produced by Jam Beat] KP MUSIC