Monday, November 13, 2017

NEWS:ALIKIBA NA NANDY WAING'ARISHA TANZANIA TUZO ZA AFRIMA

Tukio lililokuwa linasubiriwa sana na Watanzania wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA).
Habari njema kwa watanzania ni kwamba Mwimbaji wa Tanzania staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo mbili.
Tuzo za Alikiba ni Best Artist or Group in African RnB and Soul ambayo ameshinda pamoja na Rapper wa Nigeria M.I ambae walifanya pamoja Smash Hit ya ‘Aje” na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambapo smash hit ya “Aje” imechukua.
List ya washindi wa tuzo hizo ni hii hapa
Best Central African Act (Male) – Locko
Best Central African Act (Female) – Montess
Best East African Act (Male) – Eddy Kenzo
Best East African Act (Female) – Nandy
Best Southern Africa Act (Male) – Emtee
Best West African Act (Male) – Wizkid
Best West African Act (Female) – Tiwa Savage
Best African Collaboration – Alikiba feat M.I – “AJE
Best Artist in African Rock – Gilad Millo (Kenya)
Best Artist or Group in African RnB & Soul – Alikiba feat. M.I – “AJE“
Best Artist or Group in African Contemporary: DJ Tunez feat. Wande Coal – “Iskaba“
Best Artist or Group in African Raggae & Dancehall – 2Baba – “Holy Holy“
Best Artist or Group in African Hip Hop – Ycee – “Juice“
Best Artist of Group in African Pop – Toofan
Video of the Year – Orezi x Adasa Cookey – “Cooking Pot“
Best Female Artist in Inspirational Music: Asikey George
African Songwriter of the Year – Simi
Producer of the Year – DJ Coublon for Seyi Shay’s “Yolo Yolo“
Artist of the Year – Wizkid
Song of the Year – Wizkid feat. Drake – “
Come Closer“





No comments:

Post a Comment