Monday, October 30, 2017

NEWS:HATIMAYE MUIGIZAJI WA VICHEKESHO NCHINI JOTI AFUNGA NDOA YA KWELI


Muigizaji wa vichekesho nchini kutoka Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ ameuaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mpenzi  wake aliyefahamikwa kwa jina la  Tumaini, katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar leo.
Ndoa hiyo imefungwa Jumamosi ya Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar. Sherehe ya harusi itafanyika leo jioni katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo wadau na mastaa mbalimbali watahudhuria.

No comments:

Post a Comment